Tanzania LEO
Habari zote za Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani..
Airtel
Twanga kotekote
Wednesday, August 7, 2019
WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI MKE WA MWANASHERIA MKUU
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Agosti 7, 2019 ameiwakilisha serikali katika mazishi ya Natalia Baraka Kilangi, Mke wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa Adelardus Kilangi. Mazishi hayo yamefanyika eneo la Luchelele jijini Mwanza.
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Comments (Atom)